Malkia Karen – Tabu (Official Video)

Trending

#MalkiaKaren #Tabu #SlideDigital

(C) Slide Digital
Malkia Karen Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
https://ffm.to/malkiakaren

Written & Performed by Malkia Karen
For Bookings: [email protected]

Follow Malkia Karen on:
https://www.instagram.com/MalkiaKaren

Channel Administered by Slide Digital
Instagram: https://www.instagram.com/slidedigitaltz



[Verse 1]

Ukija niacha moyo wangu Nitaumia sana mie
Ndomana nikikuona mwili wote unanitutusika eeh
Kua nawe sina hakika ,utaniua wee!
Mi kunipa pendo lako,kwangu imekua kama njozi,hata pale tufikapo.. Amini naumwa homa!
We sio wa sampuli wala sample
kwangu umekua kama dozi,
hata pale niangukapo,Awe unaniinua savipi ukiniacha?

[Chorus]
Me nitapata tabu oooh tabu! x 4

[Verse 2]
Niko na wewe,kinywa hakineni
yanini niandikie mate ,eti kipya kinyemi maneno ya uvumi yasinichachafye!
Mimi umenifunga semi kwa rafikizo baba usintangazie..
Ona mana fisi bucha hasusiwi hata buti haing’ai bila kiwi malumbano kando hayatakiwi… X2
sasavipi ukiniacha?

[Chorus]
Me nitapata tabu ooooh tabu! x 4

bridge
Tujikongoje tara tara..Taratibu kokote sisi tutafika
Visiwani bara bara..Majaribu usitetereke yatakwisha

[Chorus]
Me nitapata tabu oooh tabu! x 4

Latest Posts

Latest

Latest Posts